-- links

Nini MOSAIC?

MOSAIC ni wikala ya lugha tafauti iso tafuta mapato, inajitolea kusaida wahamajii na wakimbizi na mahitaji yao ya kuhama nakuingiliana. Kwa njia ya miradi na huduma tafauti.

MOSAIC ni wikala ya lugha tafauti iso tafuta mapato, inajitolea kusaida wahamajii na wakimbizi na mahitaji yao ya kuhama nakuingiliana. Kwa njia ya miradi na huduma tafauti. MOSAIC inasaida wateja wake kushirikana kamili katika ujamii wa Canada. Toka ilivoanza miaka 35 iliopita, MOSAIC imekua moja katika wikala kuu zinazo saidia wahamajii katika eneo la bara la chini.


Mipango ya uajira
604 254 0244
employmentprograms@mosaicbc.org


Mipango ya kufunza kiingreza
604 684 8825
linc@mosaicbc.org


Mipango za watoto na familia
604 254 9626
childfamily@mosaicbc.org


Huduma za kutafsiri kwa maneno
604 254 8022
interpretations@mosaicbc.org

Mipango ya makao
604 254 9626
settlement@mosaicbc.org


Mipango maalum
604 254 9626
specializedservices@mosaicbc.org


Huduma za kutafsiri
604 254 0469
commercial@mosaicbc.org